Habakkuk 1:14-15

14Umewafanya watu kama samaki baharini,
kama viumbe wa bahari wasio na mtawala.
15 aAdui mwovu anawavuta wote kwa ndoana,
anawakamata katika wavu wake,
anawakusanya katika juya lake;
kwa hiyo anashangilia na anafurahi.
Copyright information for SwhNEN